BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UCHAGUZI MKUU OKTOBA 31.




Mgombea ubunge jimbo la Morogoro mjini kupitia chama cha wananchi (CUF) Abeid Mlapakolo akitumbukiza karatasi katika sanduku kumchagua rais mara baada ya kupiga kura katiak kituo cha Umati katika uchaguzi mkuu oktoba 31 Misufini Manispaa ya Morogoro.

Msimamizi wa kituo cha Nunge Darajani Esther Mungure akimsaidia mmoja wa wakazi wa kata ya Nunge kutumbukiza karatasi katika sanduku katika uchaguzi huo.

Mkazi wa Manispaa ya Morogoro Saida Ludege akiwa kwenye foleani ya kuhakiki vitambulisho muda mfupi kabla ya kuruhusiwa kupiga kura.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: