UMOJA WA WAFUGAJI KANDA YA MASHARIKI WAITAKA SERIKALI KUSIMAMIA VEMA ZOEZI LA KUHAKIKI MIFUGO KABLA YA KUFANYIKA KWA OPERESHENI MORO
Mfugaji wa kijiji cha Kiberege tarafa ya Mangula, Koshoma Kazimoto akifafanua jambo wakati wa mkutano ulioitishwa na umoja wa wafugaji kanda ya mashariki (UWAKAMA) wakati wakijadili juu ya tamko la serikali la kuwataka wafugaji na wakulima waliopo ndani ya mabonde na maeneo ya vyanzo vya maji ya Usangu na Kilombero na waliopo ndani ya hifadhi ya mbuga za wanyama na maeneo ya ardhioevu ya Ihefu eneo la kilombero lililotengwa kimataifa chini ya mkataba wa Ramsar na maeneo mengine kuhama ifikikapo agosti 30 mwaka huu ambao ulifanyika kijiji cha Siginari tarafa ya Mangula wilaya ya Kilombero mkoa wa Morogoro.
HABARI ENDELEA KUSHUKA CHINI:
0 comments:
Post a Comment