BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIVUKO CHA MV KILOMBERO KIKIENDELEA KUFANYA KAZI.



Kivuko cha Mv Kilombero wilaya ya Kilombero mkoa wa Morogoro kikiendelea kufanya kazi ya kuvusha abiria na mizigo katika mto Kilombero ambacho kivuko hicho kimekuwa muhimu kwa wananchi wa wilaya hiyo ya Kilombero na wilaya ya Ulanga mkoani hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: