Mwendesha pikipiki katika Manispaa ya Morogoro maarufu kama boda boda akiwa amewapakia abiria wanne jambo ambalo ni kinyume na sheria za usalama barabarani wakati akiwasafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingene katika eneo la Kihonda Kanisani mjini hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment