Mzee Ali Ramadhani na mkwe Mariam Vitarisi wakiwa wamekaa chini ya hema na wajukuu zao yahaya Ibrahimu (kulia) na Winfreda Ibrahimu chini ya hema lililotolewa na serikali ya wilaya ya kilosa baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi awali kuvunjwa na tingatinga kwa idhini ya mahakama ya ardhi ya mkoa. Zaidi ya nyumba 50 za kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, tarafa ya Magore wilaya ya Kilosa zilivunjwa na kusababisha watui zaidi ya 160 kukosa makazi.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Mzee Ali Ramadhani na mkwe Mariam Vitarisi wakiwa wamekaa chini ya hema na wajukuu zao yahaya Ibrahimu (kulia) na Winfreda Ibrahimu chini ya hema lililotolewa na serikali ya wilaya ya kilosa baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi awali kuvunjwa na tingatinga kwa idhini ya mahakama ya ardhi ya mkoa. Zaidi ya nyumba 50 za kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, tarafa ya Magore wilaya ya Kilosa zilivunjwa na kusababisha watui zaidi ya 160 kukosa makazi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment