BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KUTOKA MAKTABA: HALI HII IBORESHWE KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA KATA.

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MGULASI MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEKALIA NDOO ZA YENYE UJAZO WA LITA 10 ZIKIWA ZIMEGEUZWA MADAWATI ILI KUWEZA KUTUMIA KWA KUKALIA WAKATI WA MASOMO YAO YA KILA SIMU, PICHA HII NI KUTOKA MAKTABA YA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM MWAKA 2009 WAKATI BENKI YA KCB TANZANIA TAWI LA MOROGORO WALIOENDA KUTOA MSAADA WA MADAWATI KATIKA SHULE HIYO YA SEKONDARI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: