BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MASHINDANO YA MICHEZO YA UMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA (UMISSETA) NGAZI YA MKOA WA MOROGORO 2012.

Mshambuliaji wa timu ya soka ya wasichna Manispaa ya Morogoro Christina Daud jezi ya blue akimtoka mlinzi wa wilaya ya Kilombero Averine Linyamala kushoto wakati wa mashindano ya ufunguzi ya umoja wa michezo shule za sekondari Tanzania ngazi ya mkoa wa Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani hapa, katika mchezo huo Manispaa iliibuka na ushindi wa bao 1-0.

                                    
Mshambuliaji wa timu ya soka wasichana ya Manispaa ya Morogoro Withness Adolf kushoto akiwania mpira na mlinzi wa wilaya ya Kilombero, Rose Wilbrod katika mchezo huo.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: