BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KUMBE PIKIPIKI IKIBORESHWA INAWEZA KUBEBA ABIRIA WENGI TU !.

Mwendesha pikipki ya magurudumu mawili nchini India akiwa amewapakia abiria sita kwa wakati mmoja huku pikipki hiyo ikiwa imejengewa paa ili kuweza kuwakinga na jua ama mvua akiwasafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: