Meli ya Mv Skagit ikiwa imeshazama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250 juu ni baadhi ya waokoaji wakiwa tayari kutoka huduma ya kwanza.
Waokoaji wakimuokoa mmoja wa abiria ili kumuingiza katika boti.
Waokoaji wakimuokoa mmoja wa wahanga hao.
Raia wa kigeni baada ya kuokolewa kutoka katika ajali hiyo
Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam kuelekea Zanzibar







0 comments:
Post a Comment