BAADHI ya wahariri na mameneja wa vyombo vya habari waliopo kwenye warsha Morogoro wakiwa wamesimama kwa dakika moja kutoa heshima kwa mwandishi wa habari kituo cha televisheni cha Chanel Ten mkoani Iringa, Daud Mwangosi (hayupo pichani) ambaye ameuwawa juzi wakati polisi wakiwatawanya wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo katika wilaya ya Mufindi
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment