BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania


 
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akifungua kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, wa pili kushoto ni mwenyekiti wa Tume Jaji prof. Ibrahim Juma na kulia ni katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Korosso akizungumza wakati wa ufunguzi wa baraza la wafanyakazi wa Tume.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Tume Bw. Peter Kalonga.
Wajumbe wakiwa katika mkutano
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Tume wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Prof Ibrahim Juma na wa pili kushoto ni Katibu mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso. wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi Bw. Fred Kandong
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: