Tuesday, November 27, 2012MSANII maarufu wa vichekesho nchini Sharobaro amefariki dunia katika ajali ya gari baada ya kupinduka mara tatu na kusababisha kifo chake wakati akiendesha gari ndani ya mkoa wa Tanga.

Katika tukio hilo ambalo limedhibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Tnaga liliacha njia.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea kadri zitakapo tufikia.

Blog ya www.jumamtanda.blogspot.com inawapa pole wafiwa na wapenzi wote wa sanaa ya filamu hapa nchini.