WANAWAKE wawili vijana wenye umri wa miaka 20 na miaka 25 moja akiwa
katika mini skirt na akiwa amevaa nguo iliyokuwa ikionyesha matiti yake
yakiwa wazi , walijikuta wakidharirishwa na kuvuriwa nguo na kundi kubwa
la watu nchini Cameroon.
Mashuhuda wanasema kundi la watu hao lilikusanyika mbele ya duka ambalo wasichana hao waliingia kwa ajili ya mahitaji yao.
Mashuhuda wanasema kundi la watu hao lilikusanyika mbele ya duka ambalo wasichana hao waliingia kwa ajili ya mahitaji yao.
wakati wasichana hao
wanajitokeza kutoka dukani kundi la wanaume liliwafuata na kumkamata
aliyekuwa amevaa skirt fupi na kumvua hadharani na kumuacha uchi wa
mnyama na kisha kuanza kumpiga picha kwa simu za mikononi.
Rafiki yake ambaye alijaribu kusaidia pia alijikuta akinyanyaswa.
Rafiki yake ambaye alijaribu kusaidia pia alijikuta akinyanyaswa.
Msichana ambaye alivaa mini-skirt hatimaye aliokolewa na polisi, ambao
walimpeleka hadi nyumbani kwake wakati msichana mwingine.
0 comments:
Post a Comment