Mjumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Deo Sanga (kulia), akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha
Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa,kuhusu utengenezaji
wa konyagi kubwa wakati wa ziara ya kamati hiyo, kwenye kiwanda hicho,
Dar es Salaam juzi.
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji
walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited
(TDL), Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Mahamoud Mgimwa (kushoto)
akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania
Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa wakati wajumbe wa kamati hiyo
walipotembelea kiwanda hicho Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar Es Salaam. |
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara wakitembelea sehemu ya
mitambo ya kujaza bia kwenye chupa katika kiwanda cha TBL, Dar es Salaam.
Meneja
wa Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania, Martine Calvin (kulia),
akiwapatia maelezo kuhusu historia ya kiwanda hicho, wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Viwanda na Biashara, walipotembelea kiwanda hicho.
Mwenyekiti
wa kamati hiyo, Mgimwa akielezea jinsi watakavyoshirikiana na TBL
kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazikabili kampuni
hiyo.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Joyce
Mapunjo.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Wanachama na Mawasiliano wa CTI, Neema Mhondo akielezea
jinsi Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kilivyopandisha kiholela ada kwa
kampuni mbalimbali kutoka sh. 400,000 hadi milioni 7 kwa mwaka.
Wajumbe
wa Kamati hiyo ya Bunge wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza
ziara kiwandani hapo.
PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO
0 comments:
Post a Comment