Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chademaMh Freeman Mbowe pamoja na meza kuu akiwahutubia wajumbea wa baraza kuu la chadema mkutano unaoendela sasa jijini dar es salam

Wajumbe wa baraza kuu la chadema wakiwa ukumbini kuendelea na mkutano wao
0 comments:
Post a Comment