BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SERIKALI IMULIKE NA KUKIFUATILIA KIKUNDI CHA KANGA MOKO, TUNAOMBA RADHI KWA MUONEKANO WA TUKIO LA KIKUNDI HICHO.






IPO haja kwa serikali kumulika baadhi ya vikundi vinavyotoa burudani katika kumbi za starehe kutokana na watoa burudani hao ambao asilimia kubwa ni dada zetu kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakivunja maadili ya Mtanzania kwa hali ya namna hii serikali kuptita idara husika ichukue hatua ya kusimamia maadili ikiwemo uvaaji wa nguo zenye staha lakini kwa wale wataokiuka basi isisite kuwachukua hatua ili iwe fundisho kwa wengine wakiwemo na wanamuzi wa kiume na kike.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: