Mkutano
Mkuu wa Dharura ulioitishwa na wanachama wa Simba, Machi 17 mwaka huu na
kuuondoa uongozi wa klabu hiyo si halali kwa vile haukufuata taratibu,
na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitambui Kamati za
Muda.
Uamuzi
huo umefikiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Machi 24
mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Alex Mgongolwa.
0 comments:
Post a Comment