BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAPIGANO NIGERIA YAPELEKEA VIFO VYA WATU 187.

Wakazi wakiangalia gari lililolipuliwa baada ya mlipuko huko Maiduguri.Wakazi wakiangalia gari lililolipuliwa baada ya mlipuko huko Maiduguri.
DAZENI ya watu wameuwawa kaskazini mwa Nigeria katika mapigano makali kati ya wanamgambo wa kiislam na majeshi ya serikali.
Afisa wa eneo hilo Lawan Kole amesema watu 187 wameuwawa ingawa shirika la habari la AFP limemkariri msemaji wa kijeshi kwamba idadi hiyo imeongezwa.

Mapigano hayo yalianza  Ijumaa katika kijiji cha Baga , yakilazimisha maelfu ya wakazi kukimbia eneo hilo.

Wakazi wa eneo hilo wanasema mapigano yalianza baada ya vikosi vya jeshi kuzingira  msikiti huo ambao ulikuwa unashutumiwa kwa kuhifadhi wanachama wa kundi la Boko Haram.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: