BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UHURU KENYATTA AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA NNE KENYA.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggjH8rgS3n7Dz3mqAoBWq_gII3n8gEWUOv8OfL3IZci5ScSG1FJgxjSoOF4Rib0md3HIiR6q6v008c9TgixTkJZkNK18Z494ZERxuFyUWUjvZCIpZHOapE10JkZLoQ9xNMjxhyG06Q2oJZ/s1600/164287_10151195580187609_1571565168_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl6xPWnueZNQbcyu7ckh2qg4oNT6OtuczjWPDNe355TWFLjN4Mhu9PlmjuE3xAbYAErFV2kcAjj76mLF9HLgJNzcw0OXOi2Aq4Do7Lf0_tGItjFcax1D5y4kDQ8UY4hDNk3tcEY9d581ma/s1600/64844_10151195579017609_1383596097_n.jpgRais Uhuru Kenyatta akila kiapo cha Urais,kuwa rais wa awamu ya nne nchini Kenya,kwenye sherehe zilizofana kwa kiasi kikubwa ndani ya uwanja wa kasalani.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGA1XtGQ307Lgn04M7PqteYEwXRAFRGrd2y0D-HB2AktKKq9q57gKlxEP9-sGumNAT59xPmhyphenhyphenbkuHJ-T2KvaYVF3mXw7PYUCvLDaPyVKlWp6QjPSwV6dcYEVz5GvCiJpeFJHjRi7D5DeXu/s1600/547497_10151195583982609_1581134814_n.jpgRais mpya wa awamu ya nne nchini Kenya,Mh Uhuru Kenyatta akiwapungia maelfu ya watu waliofika kushuhudia kuapishwa kwake, mapema leo kwenye sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Kasarani,jijini Nairobi Sherehe hizo zimehudhuriwa na Marais kutoka nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Jakaya Mrisho Kikwete,Mabalozi mbalimbali na watu mbalimbali.Picha zote kwa hisani ya Mike Kariuki wa Capital FM.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpULcrI9gj8U6-dzluKJSHtht08bgDiRydzsoarhPs9Ec-L4p6c3hjKiRoQvG1R7xyWSBkX4WNJuUSvKaEnPENR_Hk6DyxJM6B5_KqOh1hA08apmWdvEN3VqPPrYEBvFYOHNMio29AOEFK/s1600/529085_10151195578917609_1205076097_n.jpg
Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Makamu wake William Ruto.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUdeHnvepubyCbdwPyDc3eDf5NBwib8xarVrl1EtyRbOTWjvj544Vmkt5xy2cHGoRpeagNHfC9uEEDAn0Zk8vt_R6Awr0rXfH4eu5Op-7MXPSKakO37PCDqX-xkko4cxXu24gJ2jQuZvvc/s1600/11691_10151195578622609_363234948_n.jpg
Rais wa Uganda,Mh Yoweri Kaguta Museven akisoma hotuba yake fupi wakati wa kuapishwa kwa Rais wa awamu ya nne nchini Kenya,kwenye sherehe zilizofanyika ndani ya uwanja wa Kasalani,jijini Nairobi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9fiaePWdzRI5gmi3-T2LmAlMWhyM0sFHpXVOkT9_NUDJVPvz-vLX1IdnMIDpJH021htpIi-RSZP3gFucRl7r6D8Uvf8_zi71ACe4wxbEroGtsKsilf3eT8RPU1dn-pG-0-4T6nCr9jPAK/s1600/524443_10151195579592609_804760154_n.jpg
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: