WANNE WAKAMATWA NA BASTOLA, RISASI 41 ARUSHA
Pichani. Kaimu Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa
Polisi (ACP) Ibrahim Kilongo akionyesha bastola aina ya Browning yenye
namba 016080 iliyokuwa inatumiwa na wahalifu waliokamatwa na jeshi hilo
mkoani hapa. Mbali na silaha hiyo pia watuhumiwa hao walikamatwa na
risasi 41 zinazoweza kutumika katika bastola hiyo. (Picha na Rashid
Nchimbi wa jeshi la Polisi Arusha)
0 comments:
Post a Comment