MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA.
MJI MDOGO WA RUAHA KATIKA WILAYA YA KILOSA MKOANI MOROGORO KUNA VURUGU KUBWA BAINA YA WANANCHI NA POLISI INAENDELEA SASA HIVI.
Taarifa
nilizozipata muda na watu ambao wapo kwenye tukio, wanasema hali si
shwari katika mji huo kutokana na kile kinachodaiwa mwenyekiti wa kijiji
kukabidhiwa madaraka bila matakwa ya wananchi.
Tukio hilo linadaiwa kufanya kinyemela kwa kumuita ofisini na kukabidhiwa vifaa vya kazi ikiwemo mihuri na
vitendea kazi vingine bila kupitishwa na wananchi hao.
0 comments:
Post a Comment