BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKIN NEWZZZZ : MAHAKAMA IMEMRUDISHIA MBUNGE WA IGUNGA, PETER KAFUMU

Mahakama ya Rufaa imemrudishia Ubunge DK. DALALY PETER KAFUMU -Igunga(CCM).
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ilimvua Ubunge Dk. Kafumu baada ya madai ya kukiuka utaratibu wa Uchaguzi wakati wa Kampeni katika Kesi iliyofunguliwa na Mwl. Joseph Kashindye aliyekuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: