Waziri
Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiweka saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha
Waziri wa zamani wa serikali ya Muungano wa Tanzania, Alfred Tandau,
nyumbani kwa marehemu, Magomeni jijini Dar es salaam, Mai 2,2013.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu mh. Mizengo Pinda akizungumzana na mtoto wa kwanza wa Waziri wa
Kwanza wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius Tandau
wakati alipokwenda kuhani msiba wa Waziri huyo wa zamani aliyefariki
dunia hivi karibuni, nyumbani kwa maremu, Magomeni jijini Dar es salaam
Mei 2, 2013. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment