Niyonzima
amesaini mkataba wa miaka miwili na kuendelea kubaki Yanga.
“Kweli
nilifuatwa na timu nyingi sana na zilinipa ofa kubwa, moja ya timu ni kutoka
Tunisia.
“Nyingine
ni za hapa Tanzania, lakini nilikuwa nina mipango yangu na nimeamua kusaini,”
alisema Niyonzima raia wa Rwanda.
Kuna
taarifa Yanga itamtambulisha Niyonzima leo kwenye makao makuu ya klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment