
Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi.

Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.
Majambazi yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer yamevamia gari ndogo aina ya VITZ N a kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya asia na kupora kiasi cha fedha ambacho bado dhamani yake haijafahamika mara moja.endelea kupitia audifacejackson blog kwa taarifa zaidi..
chanzo mdodosaji
0 comments:
Post a Comment