SPIKA wa Bunge Anna Makinga ameighairisha kikao cha bunge mjini Dodoma kufuatia hali ya machafuko yalijitokea leo katika mji wa Mtwara baada ya ba
jeti ya wizara ya Nishati na Madini.
Hali hiyo imekuja baada ya vurugu kutokea na itatia nafasi kwa serikali kujadili lakini baada ya kamati ya bunge ya kujadili hali na wabunge kupata nafasi ya kujadili, alisem Spika wa Bunge.
0 comments:
Post a Comment