BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DIAMOND: HII NDIYO PICHA ZANGU ZA MWISHO NIKIWA NA NGWAIR, HIVI SASA SIMANZI KUBWA IMETAWALA MOYO WANGU.

ngwear-mangwear-diamond
Pamoja na ku-share picha zao za pamoja, hapa chini ni alichoandika msanii Diamond Platnumz kuhusu kifo cha mkongwe wa Bongo flava, Albert “Ngwair” Mangwair:

“Bado binafsi naona kama nipo usingizini na ni ndoto ndefu ambayo naiota pasipo kuamini kama ni kweli nachoota au Lah….Lakini ukweli unabakia kuwa pale pale Albert mangwea atunae tena Dunia..


Ni vigumu kuamini hata kwa mashabiki wa muziki kuwa Nguli huyu wa Muziki wa Hip Hop ayupo tena Dunia…. Mara ya mwisho Binafsi nilikutana na Albert Mangwair maeneo ya sinza Mori…Ilikuwa Location ya video ya Madee Pombe yangu,nae alikuwa amealikwa na akaja kutoa support yake kwa hali na mali… mpaka now nahandika ni simanzi kubwa imetawala na huzuni kubwa ndani ya moyo wangu…..
INNALILAAH WAINA ILAIH RAAJIUN” ngwear-mangwear-diamond-0
ngwear-mangwear-diamond-1

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: