Ule
msemo wa true love never die utakuwa unawahusu sana Linah na
Amin,ambao uchumba wao ulikuwa gumzo sana kwenye mitandao ya kijamii
baada ya kuvunjika miezi iliyopita na kila mmoja kuendelea na mahusiono
mengine ambapo inafahamika kuwa kuwa Linah ana mchumba wake na
wataoana soon lakini siku za karibuni ukaribu wa hawa
wawili(Linah&Amin)
ulianza kurudi na hata kufanya wimbo wa kushirikiana uitwao mtima wange na baada ya Amin kulizwa na mtandao wa Teentz alikuwa na haya ya kuongea
ulianza kurudi na hata kufanya wimbo wa kushirikiana uitwao mtima wange na baada ya Amin kulizwa na mtandao wa Teentz alikuwa na haya ya kuongea
"Linah
tuko pamoja tena kaka na wasichokijua watu ni kwamba,wimbo wa Mtima
wange tumeimbiana sisi wenyewe,so watu wafahamu kwamba we are
together"alimaliza kufunguka mtu mzima amini na tulipomvutia waya Dada
etu Linah,simu ilikuwa ikita tu pasipo kupokelewa.

0 comments:
Post a Comment