Mwaliko huo ni kama hivi: Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.
NDUGU ZANGUNI.
BAADA ya kuona kila kukicha
tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa
Arusha God bless Lema.
Mimi kama rafiki wa zamani
wa Lema nimeamua kujitolea kumplipia gharama zote ili aje hapa UK kukanusha
uzushi huu ambao ni aibu kw
a taifa letu kuwa na mbunge ambaye anatafutwa kwa kesi ya aibu ya kubaka.
a taifa letu kuwa na mbunge ambaye anatafutwa kwa kesi ya aibu ya kubaka.
Mimi kama wananchi wengine
sipendi kuona jina la mheshimiwa lina chafuliwa hivyo nimeamua kuwa nitalipa
kila kitu kuanzia tiketi ya ndege, ada ya visa na pia gharama za hoteli,
chakula na vinywaji kwa kipindi chote mheshimiwa atakapokuwa hapa.
By Chris Lukosi


0 comments:
Post a Comment