Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete,
akisikiliza maelezo toka kwa Mkurugenzi wa Usalama na Afya Ndugu Alex
Ngata alipotembelea Banda la OSHA kwenye maadhimisho ya wiki ya Hifadhi
ya Jamii Dodoma
Naibu
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Adam Malima akipata maelezo
kuhusu mpango wa uchangiaji wa hiari wa PSPF na maafisa wa Mfuko huo.


0 comments:
Post a Comment