TETEZI zinaweza kuwa za ukweli au
pengine zikawa ni story za kujitungia
Lakini tetesi zinasema kuwa Matonya
alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu waliposkia kluwa atashiriki onyesho la
miaka 13 ya JayDee, wakamwambia aachane na hiyo show na kuwa watampa hela
am
bayo angelipwa kwenye show hiyo.
Na pia wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya
JayDee.
Hizo ni fununu, ambazo hazina uhakika.
Lakini tukirudi upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali
na kukubali kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.
MATONYA: Kaka kumbe tarehe ni lini
kumbe:
CAPTAIN: Ni Ijumaa tar
31 May 2013 kaka mwezi ujao. Tutakuwa na Linah, Jay, Barnaba, Matonya, TID,
hamza Kalala
MATONYA: Kaka kumradh sana kuimba na
band kwasasa sitoweza manake mtaitaji mandalizi makubwa ili nifanye kazi
vzr_ningeomba nitizamwe ktk kazi ingine bro kumradh sana
CAPTAIN: Du! Nshatangaza ilikuwa kaka
lakini sawa. Je ntapata ile hela kka nilipe wengine ndg yangu
MATONYA: Aisee hata nimekosa raha
kukujuza iliswala br_kesho satano mtampa yule rafkiangu anaitwa pizon_walikuja
kuleta ile pesa ya gari kwaio wataileta apo apo oficen.
CAPTAIN: Sawa kaka usijali, Nitashukuru
akiileta ili huku nisipate lawama
MATONYA: ok bro
Mara kimyaaaaaaa....... baada ya siku
mbili tatu maongezi yakaendelea
CAPTAIN: Naam kaka mzigo haujaletwa.
Tafadhali ileteni tu hiyo hela ya watu kaka mi napewa lawama isitoshe we ni
ndugu yangu usikubali hela ndogo iharibu.
MATONYA: Gadna aiwezi kuwa ivyo_kuna
mapungufu kidgo nayaweka sawa uipate kumradh sana brother
CAPTAIN: Asante
Siku ikapita tena
MATONYA: Kaka kdg kunamisteki
nimecheza,, lakini wiki hii haitapita mtakuona bro nimekwama kaka lakini ntajua
cha haraka
CAPTAIN: Sijaelewa kaka ni laki **** tu
kunirudishia nduguyo nilipe wasanii wengine kwani kuna tatizo au
MATONYA: Bro naskia haya - skutaka hata
kuku2mia msg mlitaka ni2we namzigo 2 ila kunambio kdg zimekwamisha nikaona bora
kukujuza kuliko kukaa kimya bro tatizo haliwezi
CAPTAIN: Sawa we ni ndugu yangu, basi
nisaidie tu irudi hiyo advance niliyokupa ili uniepushe na lawama huku kaka. Au
niende kwa bimkubwa Tanga nikalalamike? Ha haaaa haaa
CAPTAIN: Fanya hivyo mdogo wangu
nilitaka uwepo ktk show kwa upendo tu lakini haijawa, basi nisaidie tu
kurudisha hiyo advance maana nadaiwa na wasanii wengine niwape. Au sio?
MATONYA: Kaka nibendi ndio haya yangu
kwasasa nastaki kuharibu kaziyako bora niwe mkweli.. Naswala lako halitoki
kichwani bro
CAPTAIN: Sawa jamaa yangu, basi nisaidie
ile advance irudi ili niweke mambo sawa huku, mimi sina mdhamini mpaka leo
aliyetoa hela, najitegemea tu mfukoni, naomba nirudishie nilipe wengine..Au
namoro matonya we ni ndugu yangu ?.
MATONYA: Sawa brother mtalisimamia soon
nikuweke sawa sawa brother - akuna litakalo shindikana kaka amini 2
CAPTAIN: Utarudisha lini nipe uhakika
kaka, niko na shida
Adavance ilitoka tangu mwishoni mwa
mwezi April
Mazungumzo ndio kama hayo mmeyasoma
Mpaka blog inaingia mitamboni leo,
advance haijarudishwa na hakuna jibu la kueleweka.
Wazee wa fitana kama zile tetesi ni
kweli kuwa mmemzuia Matonya asifanya hii show ya miaka 13 ya JayDee, na hela
ameshaitumia! Kwanini msimsaidie kuirejesha mambo yaishe??
0 comments:
Post a Comment