“Iwapo Watanzania wataniona nafaa na kunitaka nigombee urais wa Tanzania, nitapima mawazo yao na iwapo ni wananchi wengi wataniunga mkono kutaka nigombee, basi nitachukua fomu na kuijaza ili nigombee nafasi hiyo kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu," - Benard Membe, Aprili 29, 2013.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment