MTOTO Bahati Upendo mwenye umri wa siku 3 toka azaliwe
alipowekwa na mama yake kwenye mfuko wa mbolea na kutumbukizwa kwenye shim
o.Ndani ya shimo hilo amekaa siku 6 bila kula wala kunywa hadi alipookotwa na wasamaria wema.
Hivi sasa yuko Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akiwa Salama Salimini .
Yeyote Mwenye nafasi ya kumsaidia mtoto huyu anaweza kwenda moja kwa moja
Hospitali au wasiliana na namba zifuatayo, mchango utafuatwa
0755061588 au 0755 731 234.
0 comments:
Post a Comment