Kufuatia
kuzuiliwa kwa raia wa kigeni (UEA) nchini Tanzania wakihusishwa na
kadhia ya mlimpuko wa Bomu huko Arusha....UAE imeitaka Tanzania kuomba
radhi kwenye Vyombo vya habari...na wamekwenda mbali hata kutishia
kuvunja uhusiano wa kibalozi. Leo Waziri Membe kutua Arusha
Source: Wakili wa ndugu wa familia akizungumza na BBC
0 comments:
Post a Comment