Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.
Abdallah Kigoda akipewa maelezo juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na
benki ya NMB kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi la Madaraka, Juma Mpimbi
alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara
mkoani Tanga.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.
Abdallah Kigoda akisalimiana na Ofisa wa benki ya NMB tawi la Madaraka,
Elvis Shao alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho
ya biashara mkoani Tanga. Wakishuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe.
Chiku Gallawa (pili kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Madaraka, Juma
Mpimbi
Maofisa wa benki ya NMB Tawi la
Madaraka wakiwa katika banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya
biashara yaliyozinduliwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah
Kigoda mkoani Tanga.
0 comments:
Post a Comment