Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba
wimbo wa Solidarity Forever wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya
Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya.Wengine katika
picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Philemon Mgaya,Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu
Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas
Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana.Baadhi
ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano yaliyofanyika wakati wa
maadhimisho ya Mei Mosi katika Uwanja wa michezo wa Sokoine mjini
Mbeya(picha na Freddy Maro)
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment