SIO aibu bali ni hatari kwa watoto wa kike ambao kwa sasa badala ya kujikita katika masomo imekuwa tofauti hii inatokana na nini ?.
Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma ambao wameonyesha sasa serikali kuanza kuwamulika pande zote kama uongozi wa vyuo unahitaji kudhibiti vitendo vya aibu na kuviletea fedheha ama kashfa na kuchafua jina la chuo husika ambapo hali hiyo imetafsriliwa kuwa ni uozo hasa baada ya kujitokeza matukio machafu ya ngono.
Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono.
Katika uchunguzi wa muda mrefu,tumefanikiwa kunasa matukio mbalimbali machafu yaliyopitiliza ya vitendo vya ngono ambapo picha na video ya ngono ya wanafunzi wanaosoma chuo/COLLAGE kimoja mjini Dodoma imenaswa laivu....
Tarehe 20 mwezi huu wa tano,tulipokea simu kutoka kwa mdau mmoja ambaye aliipasha juu ya
kuwepo kwa mkanda wa ngono chuoni hapo ambao umerekodiwa na wanafunzi
wa chuo/COLLAGE hicho....
Hapa walikuwa wakitazama camera ambayo waliitegesha wenyewe
--------------
Baada ya tarifa hiyo, mtandao huu
ulimteua mmoja ambaye alikabidhiwa majukumu ya kuujua ukweli
ikiwa ni pamoja na kuipata video hiyo kwa gharama yoyote kama
ushahidi....
Tarehe 22 may alifanikiwa kuonana na mnyetishaji huyo
ambaye alimpa mkanda mzima wa tukio hilo..
Mnyetishaji: Asante kaka, poleni na kazi
Mwandishi: Asante sana, suala langu ni moja tu...ambalo ni kuipata hiyo video , maelezo mengine baadae.
mwanndishi: Kwanza ilikuwaje wakajirekodi?
Mnyetishaji: Unajua sisi wanafunzi tuna ile hali ya kusifiana mbele ya wenzetu.Kwa hiyo siku ukitoka na demu, ni lazima masela wajue kama ulipiga kazi kweli au ulizingua...
Inavyoonesha ni kwamba huyu jamaa alitaka kuwathibitishia washikaji zake kwamba alimtungua huyu dem, na ndo maana akamrekodi.
Mwandishi: ( kicheko kikali) Dah! Wanafunzi mnambo sana aisee...!!Kumbe na wewe ni mdau.Ilikuwaje video hii ikasambaa? wakishajirekodi hubaki kwa mwenyenayo au husambazwa kwa washikaji?
Mnyetishaji: Kaka mimi siyo mdau na ndo maana nikawapa huu mchongo ili msaidie kulikemea hili.Wakishajirekodi, video hubaki kwa mwenye nayo tu.Ukitaka kuona ni lazima uende kwa mwenyenayo.
Hii imevuja kwa sababu jamaa alijiamini na kuwapa washikaji zake wa karibu ambapo tangu siku hiyo video ilianza kusambaa kwa kasi.
Mwandishi: Turudi kwenye point kaka...Ntaipataje hiyo video ili na mimi niamini???
Mnyetishaji: Video ninayo, ila ni lazima unitoe kidogo, nimechacha mwanao..!!
Mwandishi: Aaah! kaka umeanza uswahili tena? haya usijali, ntakutoa Dinner.
Mnyetishaji: Asante kaka, ila msinitaje.
mwandishi: Usijali kamanda, na ndo maana sijataka hata kuuliza mengi kuhusu wewe.Kazi yangu ilikuwa ni kuupata mkanda basi.
Hatimaye alifanikwa kuipata video hiyo ya aibu.Ni ngumu sana kuamini kama wabongo tumefikia hatua hii ya laana.
Awamu hii tutaishusha video hiyo kama ilivyo ili jamii ijionee.Ni video ndefu ( saa nzima).Tumeivunja katika vipande 6.
0 comments:
Post a Comment