BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TAPELI ALIYEKUWA AKITUMIA JINA LA RAFIKIELIMU AKAMATWA NJOMBE.

Tapeli  Hashimu  Mkane, siku  ya  mahafali  ya  Shahada  yake  katika  Chuo  Cha  Sokoine  University  Of  Agriculture ( SUA )  kilichopo  Morogoro...Elimu  yake imemsaidia  nini  huyu  tapeli?  Ameaibisha  wasomi  wa  Tanzania, ameaibisha  Chuo  chake, ameabisha  taaluma  yake. Kweli  mtu  anaweza  kwenda  shule  lakini  asielimike. Wewe  Tapeli  Hashim  Mkane, hivi  hamuogopi  hata  Mungu  wako,? Umepata  wapi  nafsi  iliyokupa  ujasiri  wa  kumtapeli  kijana  wa  watu  wa  Arusha  kumchukulia  shilingi  Elfu  Tano  yake  na  kumwambia  aende  Mwanza  kuripoti  kazini?. Pesa  za  nauli  alizotumia, hela  ya  kula  njiani, hela  ya  gesti?, n.k. Mungu  atakulaani  sana. Machozi  ya  kijana  yule  hayawezi  hayajamwagika  bure!.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: