BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TUNABOMOA AMA TUNAJIKOMOA ?.


JE TANZANIA KUNA WATU WANAKALI KAMA ZA HUY
U MDUDU ?. 
Hali hii zamani haikwepo nakumbuka tulikua tunavaa pekossss!! Suruali Juu inabana chini fundi kajisahau !. 

Lakini kipindi hiki hakuna usimamizi wa maadili ndiyo maana wazazi huwa wanawaangalia.

Maana wakati huo mzazi alikuwa na wajibu wa kumkanya mtoto wa wenzake tofauti na sasa hivi kwani ukifanya hivyo basi unajitafutia majanga.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: