BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UTAKATILI HUU MAMA MZAZI UNATOA WAPI UJASIRI WA KUMTESA MWANAO ?.

MTOTO FIKIRI HAUSI AKIUZA MKONO BAADA YA KUFANYOWA UKATILI NA MAMA YAKE.

Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kunguzwa Moto na Mama yake, Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi. 
 
Msomaji hebu angakila Jamii ya watanzania kila siku ina fanya kongamano ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na mama jee kitendo hiki sisi watanzania tunaenda wapi ?.

Masikini mtoto anaonekana kama amelala lakini hayo ni maumivu kiasi hataki hata kuongea na mtu.

Kila mmoja pale alipo ajalibu kuzuia vitendo hivi.
http://demashonews.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: