Mbunge
wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi amepata ajali hivi punde katika eneo la
kasheki wilayani Hanan'g akielekea Arusha mjini.
Joseph Mbilinyi maaru Sugu alikuwa
akielekea Arusha mjini kuungana na wabunge wengine katika shughuli ya ku
aga
marehemu
waliolipukiwa na bomu kwenye mkutano wa Chadema, mwishoni mwa
wiki iliyopita.
Katika ajali hiyo hakuna mtu yoyote
amejeruhiwa, Mbunge huyo yuko salama, gari la Sugu limeharibiwa vibaya
baada ya kugongana na basi la abiria.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment