BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS: MWANAMKE AFARIKI DUNIA BAADA YA CENTER ILIYOBEBA MAGUNIA YA MPUNGA KUSHINDWA KUPANDA MLIMA MORO.

Wasamalia wema Manispaa ya Morogoro wakiwa wamebeba mwili wa mwanamke aliyefariki dunia kuingiza katika gari la polisi baada ya gari aina ya center kushindwa kupanda mlima na kurudi nyumba kisha kupinduka na kusabab
isha kifo cha mwanamke huyo eneo la shule ya msingi Mlimani katika barabara ya Forest Hill-Misitu kufuatia dereva wa gari hilo kushindwa kukata kona na kumshinda wakati akipeleka magunia yenye mpunga ya marehemu huyu ikiwa ni mita chache tu kufika nyumbani kwake.

kwa picha zaidi za tukio hilo endelea kutembelea ww.jumamtanda.blogspot.com

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: