Wana Jf.
KAMA mtakumbuka waziri mkuu Mizengo Pinda juzi alitoa kauli ya serikali kuwa
itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi
Arusha.
Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu wa Marehemu wote wawili wamekataa serikali kujihusisha na mazishi ya ndugu zao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti ndugu hao wamesikitishwa na kitendo cha
kushawishiwa kuwak
ataa CHADEMA, wamesema wao wapo na CHADEMA kwa kuwa
wao pia ni wafiwa katika tukio ambalo lilitokea kwenye mkutano wao.
Leo hii miili ya marehemu wote zimesafirishwa kwenda makwao Tanga na
Tabora, ambapo Mbunge Rose Kamili ndiye aliyeshughulikia taratibu zote
ikiwa pamoja na kulipia gharama za usafiri, chakula na malazi kwa wote
waliosafirisha miili ya ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki.
Coster zote zimeondoka mapema leo kuelekea kwenye maziko.
CHANZO http://www.jamiiforums.com
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / CHADEMA WASAFIRISHA MIILI YA MAREHEMY KWA MAZIKOwasafirisha miili ya marehemu kwa maziko. Familia yaikataa serikali
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment