MISS REDS TANGA 2012, THERESIA KIMARO KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASHINDI WA PILI BETRICE JOSEPH NA MSHINDI WA TATU JOHARI HARUM KATIKA SHINDANO LILLOFANYIKA MWAKA 2012.
Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, Asha Kigundula.
isha warembeo 15 katika Uwanja wa mkwakwani Juni 22 mwaka huu.
Akizungumza na mtandao wa jamii, www.jumamtanda.blogspot.com Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, Asha Kigundula, ambaye ndiye muandaaji wa shindano hilo, alisema kuwa amefurahi kupata kiasi hicho cha fedha kwa kuwa kimemsaidia kwa asilimia kubwa kufanikisha shindano hilo.
Alisema kuwa kwa namna ama nyingine anamshukuru sana Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Shekhe Salim Al Harthy kuweza kumsaidia kiasi hicho.
"Namshukuru sana Mr Salim kwa kuweza kunisaidia kama hivi, nina amini kila kitu kitakuwa kipp sawa"alisema Asha.
Warembo hao ni Hawa Ramadhan (18),Hazina Mbaga (19)Like Abdulraman (19), Jack Emannuel (18),Wahida Hashimu(20), Tatu Athumani (19), Mwanahamis Mashaka(20), Neema Abdallah (18), Winfrida Gutram (21)Lulu Mbonea (19) na Aisha Rashid (21),Hzina Daniel (19),Lulu Matawalo(22),Judithi Moreli (21) na Hawa Twaybu (21)
Alisema kwamba shindano la mwaka huu litaandika historia mpya ya urembo mkoani humo kwa kuwa Kampuni DATK imejipanga, hivyo mashabiki wa mashindano ya urembo wa jijini hapo kwa ujumla wakae mkao wa kupata raha.
Redd's, Miss Tanga, imedhaminiwa na L Hayat Investment Limited, Dodoma Wine, CXC Africa,Executive Solutions, Busta General Supply, Mkwabi Interprises, Lusindic Investment LTD, Lavida Pub,Jambo Leo, Staa Spoti,Five Brothers Cloud's Media Group, pamoja na Blog Michuzi Media Group, Bongostaz.com, Saluti5,Kajuna, JaneJohn, na Kidevu na assengaoscar.blogspot.com.

0 comments:
Post a Comment