BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KUMBE WABUNGE WANAWEZA KAZI NYINGI TU, ICHEKI HII PICHA MHE ABOOD.


KUMBE WAHESHIMIWA WANAWEZA HATA KAZI YA KUONGOZA MAGARI, ONA KATIKA PICHA HII MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI, ABDULLAZIZ ABOOD NA KATIBU WAKE, MOUR
ICE MASALLA WAKIMUONGOZA DEREVA WAO BAADA YA KUKWAMA KATIKA MAWE KATA YA BIGWA MANISPAA YA MOROGORO WAKATI MBUNGE HUYO ALIPOWATEMBELEA WAPIGA KURA WAKE HIVI KARIBUNI. KAZI KWELI KWELI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: