Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama.
MBUNGE wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa na
viongozi wengine wa Chadema akiwemo katibu mwenezi wa Chadema na diwani
wake pamoja na watuhumiwa wengine wa kesi ya vurugu za machinga na
polisi kufikishwa mahakamani tena Leo jumatatu
0 comments:
Post a Comment