Hali ikiwa tete.
Shoti ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.
Zimamoto wakiwa kazini.
Tanesco wakikata umeme.
Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo.
Moto
mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu la
Kariakoo leo asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha moto huo
inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyotokea jirani na baa hiyo.
(Picha na Chande Abdallah / GPL)
0 comments:
Post a Comment