Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Morogoro akiwaongoza mwanaume na mwanamke baada ya kutokea kutoelewa baina yao katika stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa ya Morogoro kwa kile kinachodaiwa mwanake kutaka kuond oka na watoto jambo ambalo mwanaume hakuridhia mapngo huo wakati akiwapeleka katika kituo kikuu cha polisi mkoani Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment