Katika kata moja wapo ya kumalizia kampeni za mwisho bomu likatupwa na watu kufariki pamoja na wengine kuumia, kutokana na hilo tumeona sio wakati muafak
a kwa uchaguzi kuendelea kwa sababu wengine wanaendelea na shughuli za mazishi”.
“Tume imeahirisha uchaguzi katika kata nne za Arusha mjini kutokana na tukio hilo ambalo linawapa Wananchi hofu wakati wa kupiga kura hivyo uchaguzi umeahirishwa hadi tarehe 30 June.


0 comments:
Post a Comment