BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SUMA MNAZARETI ATOA WITO KWA WASANII KUUNGA MKONO HARAKATI ZA UKOMBOZI ZA KIMUZIKI ZA MWANADADA LADY JAYDEE a.k.a ANAKONDA.


NI mmoja kati ya wasanii walioibuka hivi karibuni katika muziki wa bongo fleva, akiwa tayari ameshafanya  nyimbo kama, nyota ya mchezo, agano jipya, na nyingine nyingi ambazo zimemfanya awe juu kimuziki.

Suma ambaye kwasasa yupo katika tour ya muziki wake maeneo ya kanda ya ziwa, alifunguka kupitia tizniz.com na kusema.”wasanii inabidi tujitoe kama lady jay dee sio tunabaki kunyanyasika na media moja bila sisi ninahakika hawew
ezi, hivyo wajue namuunga mkono jide kwa nguvu zote, kama wasanii hawatajitoa tutaendelea kunyanyasika tu,watu wajifunze kwa Rama dee mbona amechukua mpaka tuzo bila  yao, so inawezekana bila ya media moja maana zipo nyingi sana.

Binafsi sina ninachohofia eti nitabaniwa kwani hata wakibana hawawezi kuzuia ndoto watanzania wanataka muziki mzuri so nikiachia truck kali lazima itaeleweka tu bila wao.

Harafu kama msanii huungi mkono harakati piga kimya sio unazinguazingua wewe kaa kimya angalia mchezo uone watu wanavyozidi kusonga bila radio moja.

lazima wajue watu tumechoka kutumiwa vibaya.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: